Huduma Zetu

Tunatoa Mtiririko wa Huduma Kulingana Na Mahitaji Ya Mteja

Kuwa Na imani juu Yetu Kazi Yako itakuwa bora.

Je! Tunaweza kukusaidiaje?

Tutahakikisha Muonekano  Wako mtandaoni Unakuwa Wa Uhakika Na Utapata Msaada Wa Karibu Sana kwa Kadri itakavyowezekana.

Ubunifu (Design)

Tutahakikisha Website Yako inakuwa na Mwonekano wa aina yake ili Kuwavutia Watumiaji.

Maendeleo (Development)

kama utahitaji Kupewa Ujuzi Wa namna Ya Kuendeleza Website Yako Mwenyewe Pia Utapata.

Masoko (Marketing)

Utapata Msaada wa mbinu zinazotumika kutangaza na kuyakamata masoko ya Mitandaoni ikiwemo mitandao ya kijamii kwa ujumla wake.

Mitandao ya kijamii (Social Media)

tutajifunza kila kitu kuhusu bidhaa zako, huduma, hadhira lengwa, tasnia na kuunda pamoja na kuwakilisha biashara yako vizuri kwenye mitandao ya kijamii.

Kuuza Na Kununua Mtanadoni (eCommerce)

Kama Utahitaji kujua mbinu za kuuza na kununua mtandaoni pia utapata usaidizi wa karibu.

Msaada (Support)

Tutahakikisha unapata msaada wetu wa karibu kwa kadri itakavyowezekana.

Siri ya Mafanikio

Makampuni mengi Yaliyofanikiwa duniani Biashara zao zinaonekana mtandaoni, kwa maana ni rahisi kuwafikia watu wengi zaidi ukilinganisha na biashara ambayo haipo mtandaoni.

""Kumbuka""

kiwa hautadumisha Upeo wako, utapunguza sana fursa zako
dominicbaitani
mjasiliamali, db Inc.
Open chat
1
Je, Unahitaji maelezo?
Habari!
naweza kukusaidia?