Haileti Maana Kupata Kidogo Leo, kesho Upoteze mara Mbili.

Jifunze Na Fanya Forex Kwa Njia Sahihi.

Forex Unayoijua wewe na  Wataalamu  wanayo ifahamu ina Utofauti Mkubwa. Wewe Unatumia njia za Zamani  Kutrade Soko Wakati Uchumi Unabadilika Kila Siku

Je,Utasaidiwa Nini ?

Utapewa Ujuzi wa Muhimu Ambao Hukuwahi Kujua Kabla

Arifa (Signals)

Utapata Mwongozo wa wakati gani inabidi kuuza au kununua pair. Na ni wakati gani Kunakuwa na Nafasi nzuri Sokoni

Udhibiti wa hasara (Risk Management)

Utapata Mwongozo Wa Kutosha Wa namna Ya Kuingia Sokoni Na Kwa Kukokotoa Hasara Unayoweza Kuikabili Bila Kuchoma Akaunti Yako

Taarifa

Pia utapata Taarifa Muhimu Ambazo inabidi kuwa Nazo Kabla Ya Kufanya Chochote Sokoni

Jifunze

Utajifunza jinsi Ya Kuchukua Tades kitaalam kwenye soko la forex.

Utaungwa Kwenye Team

Utakuwa Miongoni Mwa Watu Wachache Kwenye Team Yetu

Msaada Wa Karibu

Utapata Usimamizi na Uongozi Mzuri Wakata Wote Utakapo Jiunga na Team Yetu.

Mengineyo

Imani Na Nia yangu ni Kuona Watanzania Wenye uwezo Mkubwa Kama Mimi Kwenye Soko La Forex Na siyo Majivuno kwenye Mitandao Ya Kijamii.

Hakuna Siri Nyuma Ya Mafanikio

Makampuni Mengi Duniani Yanafanikiwa Si kwamba Wana Siri Fulani, Hamna Ni Misingi Waliyojiwekea Kufata Miongozo Yao Na Kufanya Kazi Kwa Lengo Moja

"Unajua Nini Kuhusu Uvumilivu?

Uvumilivu, nidhamu na kujitolea. Kama nitavyokufundisha kila wakati, Lichukue Soko La Forex kitaalam nalo Litakulipa kitaalam.
dominicbaitani
Mjasiliamali, DB Inc.

Wahusika

Timu Bado inaongezeka Chukua Nafasi Ya Mapema Kujiongezea Uwezekano Wa kuwa Mmoja wapo Kati yetu. 

Domician Baitani

Mwanzilishi