Kuhusu Sisi

Karibu kwenye tovuti yetu

Hujakosea na Wala hujabaatisha kututembelea.

Wajibu wetu ni nini?

Wajibu wetu ni kuhakikisha unapata huduma bora kwa kadri inavyowezekana.

Lengo Letu

Lengo letu Ni Kuhakikisha Wafanya Biashara wadogo wanaweza kuweka biashara zao Mtandaoni na kuwafikia watu wengi kwa kadri itakavyowezekana.

Tunachokifanya

Kwa nini Ufanye Na sisi kazi?

Utapata faida nyingi ukiamua kufanya kazi na sisi kama ifuatavyo;-

Tutahakikisha Website Yako inakuwa na Mwonekano wa aina yake ili Kuwavutia Watumiaji.

 

Tutahakikisha unapata msaada wetu wa karibu kwa kadri itakavyowezekana.

Tutahakikisha kazi unayoileta inalenga kuleta matokea chanya

Tutajifunza kila kitu kuhusu bidhaa zako, huduma, hadhira lengwa, tasnia na kuunda pamoja na kuwakilisha biashara yako vizuri kwenye mitandao ya kijamii.

Kama Utahitaji kujua mbinu za kuuza na kununua mtandaoni pia utapata usaidizi wa karibu.

Utapata Msaada wa mbinu zinazotumika kutangaza na kuyakamata masoko ya Mitandaoni ikiwemo mitandao ya kijamii kwa ujumla wake.

Data Zilizorekodiwa

Kulingana na kazi zilizo fanyika

1
Wateja Tulio Wafikia
100
Project zinazofanyiwa kazi
1
Wafanyabiashara Tunaolenga kuwafikia
1 K+
Wafuasi Facebook
Open chat
1
Je, Unahitaji maelezo?
Habari!
naweza kukusaidia?